Tools
You are here: Home » News » Public Notice
Saturday, 21 Jul 2018

General Public Notice

E-mail Print PDF

 

ANATAFUTWA

Kampuni ya Northern Engineering Works Ltd Arusha inatangaza kwa umma wa Watanzania kwamba Fundi Minara ya Simu, Mwangu Christian Mwangao (Mwenye picha hapo juu), umri wake miaka 39, Kabila lake ni Mnyaturu anatafutwa na mwajiri wake kwa kosa la wizi wa mafuta (Diesel) na vipuri vya majenereta yenye thamani ya mamilioni. Taarifa hii imeripotiwa katika kituo kikuu cha Polisi Geita na kufunguliwa jalada la kesi lenye namba No.GE/RB/3141/2016. Mtajwa hapo juu anapendelea kutembelea Mikoa ifuatayo: Dar Es Salaam, Mtwara, Mbeya, Iringa, Geita, Singida na Mwanza.

Kwa yeyote atakayemwona mtwaja hapo juu, tafadhali ripoti kituo cha polisi kilicho karibu kwa hatua zaidi. Zawadi nono itatolewa.

Pia kampuni ya Northern Engineering Works Ltd haitajihusisha na biashara yeyote atakayoifanya kupitia kampuni ya Northern Engineering Works Ltd.

Menejimenti

Sakina - Arusha

P.o. Box 7026

Phone: +255 27 250 6000

Fax: +255 27 250 5155

Barua Pepe: info@newl.co.tz

Web: www.newl.co.tz

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE

 

Share This Page.

Award

 

Our Clients

Follow Us

NEWL On LinkedIn

Tracker